Sports
Congo-B: Mgomo uliodumu kwa miezi mitatu wasitishwa katika chuo kikuu cha umma
Wahadhiri na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Marien Ngouabi mjini Brazzaville wanarejea shuleni leo Jumatatu, Desemba 30. Kufuatia maendeleo ya mazungumzo yaliyoanzishwa na serikali, walimu wameamua kusitishwa mgomo wao uliyoanza Oktoba 1.
By: rfi_fr
- Dec 30 2024
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS