Entertainment
Waziri wa Mambo ya Nje wa China azuru Afrika
Waziri wa Mambo wa China Wang Yi anazuru mataifa kadhaa ya Afrika, kwa lengo la Beijing kudumisha uhusiano wa miaka 35 na bara la Afrika, wakati huu nchi hiyo ya bara Asia ikiendelea kuongeza ushawishi wake kwa njia ya uwekezaji na utoaji wa mikopo.
By: rfi_fr
- Jan 07 2025
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS