News
Ufaransa: Kanisa Notre Dame linafunguliwa tena jijini Paris
Nchini Ufaransa, Kanisa Kuu la Notre-Dame lililopo jijini Paris, lililoteketea miaka mitano iliyopita na kuharibiwa vibaya, linafunguliwa tena leo Jumamosi baada ya kukarabatiwa upya.
By: rfi_fr
- Dec 08 2024
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS