Waziri wa Mambo ya Nje wa China azuru Afrika

Waziri wa Mambo wa China Wang Yi anazuru mataifa kadhaa ya Afrika, kwa lengo la Beijing kudumisha uhusiano wa miaka 35 na bara la Afrika, wakati huu nchi hiyo ya bara Asia ikiendelea kuongeza ushawishi wake kwa njia ya uwekezaji na utoaji wa mikopo.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute