Korea Kusini: Wabunge wapiga kura kumtimua kaimu rais

Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura siku ya Ijumaa, Desemba 27, kumng'atua mamlakani Kaimu rais Han Duck-soo, wakimtuhumu kwa "kushiriki kikamilifu katika uasi" baada ya mtangulizi wake Yoon Suk-yeol kujaribu kuanzisha sheria ya kijeshi mnamo Desemba 3,Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute