Vita nchini Ukraine: Askari wa Korea Kaskazini aliyejeruhiwa achukuliwa mfungwa na Kyiv

Vikosi vya Ukraine vimemkamata mwanajeshi wa Korea Kaskazini aliyetumwa kusaidia jeshi la Urusi, zimearifu taarifa za kijasusi za Korea Kusini siku ya Ijumaa, Desemba 27.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute