Ethiopia: Wajumbe kutoka Addis Ababa na Mogadishu kutekeleza makubaliano ya Ankara
Wakuu wa kitengo cha Inteljensia kutoka Ethiopia na Somalia; wamekutana jijini Addis Ababa, kujadili ushirikiano kuhusu masuala ya ulinzi na usalama, baada ya makubaliano ya Ankara yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili mapema mwezi huu.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com
Guest Post Services www.easybranches.com/contribute
Play online games for free at games.easybranches.com
Guest Post Services www.easybranches.com/contribute