Mali: Viongozi watatu wa kisiasa wafungwa kwa kushtumu mauaji yanayofanywa na jeshi
Nchini Mali, watu watatu kutoka vuguvugu la Movement for Peace in Mali (MPPM), pia wanachama wa chama cha kisiasa cha Sadi, wanazuiliwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, licha ya uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Kibinadamu.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com
Guest Post Services www.easybranches.com/contribute
Play online games for free at games.easybranches.com
Guest Post Services www.easybranches.com/contribute