Ujerumani: Scholz apoteza imani ya wabunge, uchaguzi mwezi Februari

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amepoteza kura ya imani ya wabunge wa Ujerumani siku ya Jumatatu Desemba 16, 2024, na kufunga ukurasa wa mamlaka iliyokatishwa na kuingizwa kwa muungano dhaifu wa serikali ambao utaongozanchi hii yenye uchumi mkubwa zaidi Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute