Korea Kusini: Polisi wanasema wanatarajia angalau waandamanaji 200,000 dhidi ya Yoon huko Seoul

Takriban washiriki 200,000 wanatarajiwa Jumamosi hii mjini Seoul katika maandamano dhidi ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol, afisa wa polisi ameliiambia shirika la habari la AFP.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute