Niger yapoteza wanajeshi wake 10 kufuatia shambulio la watu wenye silaha

Wanajeshi 10 wa Niger, wameuawa na wengine sana wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha, katika mpaka wa nchi hiyo na Burkina Faso.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute