Wasyria washerehekea kuanguka kwa utawala wa Bashar Al Assad

Waandamanaji wanaounga mkono waasi wa Syria wamemiminika katika maeneo kadhaa ya Ulaya na kwingineko duniani siku ya Jumapili hii, Desemba 8 kushherekea ushindi wa waasi hao. Licha ya kutokuwa na uhakika juu ya siku zijazo, ni wakati wa furaha kati ya watAds Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute