Mauritania: Kesi ya aliyekuwa rais Aziz yafunguliwa katika mahakama ya Rufaa

Kesi ya aliyekuwa rais wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz imefunguliwa Jumatano katika mahakama ya Rufaa huko Nouakchott, ambapo anatuhumiwa kutumia vibaya mamlaka yake kwa kujikusanyia mali nyingi.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute