Urusi: Rais Putin aagiza kuwasajiliwa kwa maofisa wapya 180,000 wa jeshi

Rais wa Urusi Vladimir Putin amewataka wakuu wa jeshi la nchi yake kuwasajili maofisa 180,000 wapya na hivyo kufikisha idadi ya wanajeshi wake walio kazini kufikia Milioni 1.5Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute