Marekani yakamilisha mchakato wa kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger
Jeshi la Marekani hapo jana limetangaza kukamilisha kuwaondoa wanajeshi wake wote nchini Niger, miezi michache kupita tangu utawala wa kijeshi wa Niamey usitishe ushirikiano wa kijeshi na Washington na kuagiza vikosi vyake kuondoka.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com
Guest Post Services www.easybranches.com/contribute
Play online games for free at games.easybranches.com
Guest Post Services www.easybranches.com/contribute