Uturuki: Mmoja afariki na kumi na wawili kujeruhiwa kando ya uchaguzi wa serikali za mitaa

Angalau mtu mmoja ameuawa na watu wengine kumi na wawili wamejeruhiwa Jumapili Machi 31 nchini Uturuki wakati wa matukio ya kando ya uchaguzi wa serikali za mitaa huko Diyarbakir, jiji kuu la Wakurdi (kusini-mashariki), imetangaza Wizara ya Afya.Ads Links by Easy Branches
Play online games for free at games.easybranches.com

Guest Post Services www.easybranches.com/contribute