Science
Mashariki mwa DRC: Mapigano yarindima kusini mwa wilaya ya Lubero
Mapigano yameripotiwa tena kuanzia leo asubuhi, Kusini mwa Wilaya ya Lubero katika mkoa wa Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC kati ya wanajeshi wa serikali FARDC na waasi wa M 23 wanaoungwa mkono na Rwanda.
By: rfi_fr
- Jan 10 2025
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS