News
Ukraine: Urusi yafanya shambulio jipya kubwa kwenye mtandao dhaifu wa nishati
Mtandao wa nishati wa Ukraine, ambao tayari ni dhaifu sana, umekumbwa na shambulio jipya "kubwa" la Urusi siku ya Jumapili, Novemba 17, mamlaka ya imetangaza. Mashambulio haya ya mabomu yalisababisha vifo na majeruhi kote nchini.
By: rfi_fr
- Nov 18 2024
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS