Technology
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani
Watu zaidi ya Milioni 30 nchini Sudan, nusu wakiwa ni watoto wana uhitaji wa dharura wa misaada ya kibinadamu, baada ya maisha yao kutatizwa kutokana na vita vinavyoendelea kati ya jeshi na wanamgambo wa RSF.
By: rfi_fr
- Jan 07 2025
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS