Entertainment
Marekani yakamilisha mchakato wa kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger
Jeshi la Marekani hapo jana limetangaza kukamilisha kuwaondoa wanajeshi wake wote nchini Niger, miezi michache kupita tangu utawala wa kijeshi wa Niamey usitishe ushirikiano wa kijeshi na Washington na kuagiza vikosi vyake kuondoka.
By: rfi_fr
- Sep 17 2024
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS