Sports
Baada ya mkutano wake na Zelensky, Trump ajitolea 'kusuluhisha' vita nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekutana ana kwa ana na Donald Trump siku ya Ijumaa Septemba 27 mjini New York, huku kukiwa na mvutano kati ya watu hao wawili kuhusu utetezi wa Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi.
By: rfi_fr
- Sep 28 2024
- 0
- 0 Views
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS